top of page

Seli

Mwandishi:

ULY CLINIC

14 Juni 2021 20:54:29

Seli

Seli ni nini?


Ni chembe ndogo yenye uhai, isiyoonekana kwa macho ya nyama ambayo ndo msingi wa maisha ya kila kiumbe hai.


Seli nyingi hutengenezwa na nuklia moja au zaidi pamoja na ogani zinazofanya kazi mbalimbali.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:21:31

bottom of page