top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

31 Machi 2025, 11:34:50

Sickle cell disease

Sickle cell disease

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Ugonjwa wa Selimundu"


Ugonjwa wa selimundu ni ugonjwa wa kurithi unaoathiri seli nyekundu za damu, ambapo seli hizo huwa na umbo la mundu badala ya umbo la mviringo. Hii inasababisha seli hizo kuhindwa kupita kwenye mishipa ya damu na kukusanyana na hivyo kusababisha dalili ya maumivu, uchovu, na matatizo mengine.

Imeandikwa:

31 Machi 2025, 11:34:50

bottom of page