top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10

Stat kirefu chake ni nini?
Stat katika tiba ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘statim’ lenye maana ya ‘kwa mara moja’
Kama dozi ya dawa imeandikwa na kufuatiwa na neno stat, maana yake dozi hiyo ‘itumiwe kwa mara moja’ au kama ni ya kuchoma, dozi ichomwe kwa mara moja.
Vifupisho vinavyofanana na Stat
Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia neno Stat, start kumaanisha stat katika cheti cha dawa au mpango wa matibabu ya mgonjwa.
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
