top of page

Tarehe ya utengenezajiwa dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:27:14

Tarehe ya utengenezajiwa dawa

Tarehe ya utengenezwaji wa dawa maana yake ni nini?


Tarehe ya utengenezaji wa dawa ni tarehe inayoonyesha mwezi na mwaka ambapo dawa ilitengenezwa. Tarehe hii huandikwa kwa kuanziwa na neno Mfg, au Imetengenezwa. Mfano


  • Mfg: 2/2004

  • Imetengenezwa: 2/2004

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:05:37

bottom of page