top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
TID kirefu chake ni nini?
TID ni kifupisho cha neno la Kilatini 'ter in die' linalotumika kwenye tiba na lenye maana ya 'mara tatu kila siku' yaani kila baada ya masaa 8.
Vifupisho vingine sawa na TID
Baadhi ya wataalamu hutumia maneno yafuatayo pia TID na t.i.d kumaanisha 'mara tatu kwa siku' na pia kuna kifupisho kingine cha TDS ambacho kina maana ya 'mara tatu kwa siku', soma maelezo yake sehemu nyingine kwenye vifupisho vya kitiba.
Mara tatu kwa siku katika tiba humaanisha dawa itumike kila baada ya masaa 8
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
