top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

29 Machi 2025, 23:50:32

Trichomoniasis

Trichomoniasis

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Trikomoniasisi"


Trikomoniasisi kwa wanawake

Inaweza kusababisha ute wenye harufu mbaya ya uozo, ambao unaweza kuwa wa povu, wa kijani-manjano na mwingi, au mwembamba, mweupe, na kidogo. Dalili nyingine ni pamoja na muwasho, uke mwekundu na uliojaa alama ndogondogo za mvio wa damu , maumivu wakati wa kukojoa na kukojoa mara kwa mara, maumivu wakati wa tendo la ndoa , kutokwa matone ya damu baada ya kujamiiana, hedhi nzito isiyo ya kawaida, au maumivu wakati wa hedhi. Takribani asilimia 70 ya wagonjwa huwa hawaonyeshi dalili za ugonjwa.

Imeandikwa:

29 Machi 2025, 23:50:32

bottom of page