top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
3 Aprili 2026, 06:05:10
tsp ni kirefu cha nini?
tsp katika tiba na dawa ni kifupisho cha neno 'teaspoon' lenye maana ya kijiko cha chai.
Kama kifupisho hiki kitatumika kwenye cheti cha dawa au matibabu ya mgonjwa humaanisha mgonjwa ‘atumie kipimo cha kijiko cha chai’.
Maana zingine za kijiko cha chai
Kunywa dawa kijiko kimoja cha chai ni sawa na kunywa mililita 5 za dawa
Dawa kijiko kimoja cha chakula ni sawa na vijiko 3 vya chai.
Imeandikwa:
3 Aprili 2026, 06:03:30
bottom of page
