top of page
Uchafuzi mtambuko wa dawa
Mwandishi:
ULY CLINIC
22 Julai 2021 08:59:17
Uchafuzi mtambuko wa dawa maana yake nini?
Uchafuzi mtambuko wa dawa hutokea wakati dawa moja inapochafuliwa na dawa nyingine wakati wa kitendo cha kutoa dawa kwa mteja.
Visababaishi
Visababishi vya uchafu mtambuko ni;
Kutokusafisha chombo cha kutolea dawa
Kutumia kijiko kimoja kutolea dawa kutoka kwenye makopo tofauti
Kutumia mikono mitupu hasa unapotoa vidonge au kapsuli
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:52:53
bottom of page