top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
5 Oktoba 2024, 15:34:07

Uchungu bandia
Ni uchungu usio wa kweli na hufahamika pia kama leba bandia, hutokea wiki 1 hadi 2 kabla ya leba halisi. Soma kuhusu leba bandia kwa maelezo zaidi.
Imeboreshwa,
5 Oktoba 2024, 15:39:50
bottom of page