top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
1 Februari 2026, 18:03:18

Uchungu halisi
True labor ni neno tiba lenye jina la kiswahili la Uchungu halisi hufahamika pia kama leba halisi, hutokana na kujongea kwa misuli ya kizazi kwa kubana(kukaza) na kuachia ili kusukuma mtoto, hali hii hupelekeaelekea mtoto kushuka kwenye nyonga mpaka pale anapotoka nje ya kizazi
Soma zaidi kuhusu leba halisi kwa maelezo zaidi.
Imeandikwa:
5 Oktoba 2024, 18:38:02
bottom of page
