top of page

Ujauzito

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, M.D

9 Julai 2023 19:27:21

Ujauzito

Ujauzito ni kipindi kinachotumiwa na mtoto kukua ndani ya kizazi za mama mpaka kuzaliwa. Kwa kawaida kipindi hiki huwa wiki 40 au miezi 9 ambayo huhesabiwa kutoka tarehe ya mwisho ya kuona hedhi ya mwisho.


Kazi ya awali ya ujauzito ni kuruhusu maendeleo ya ukuaji wa mtoto. Mabadiliko yote yanayotokea kwenye mwili wa mama huwa na dhumuni la kuruhusu ukuaji na maendeleo ya mtoto pamoja na kitovu ambacho kumpa lishe kijusi na kufanya ujauzito uendelee.


Rejea za mada hii

  1. Physiology, Pregnancy.https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK559304/#. Imechukuliwa 09.07.2023

  2. Pregnancy. https://www.nichd.nih.gov/health/topics/pregnancy#:. Imechukuliwa 09.07.2023


Imeboreshwa,

20 Julai 2023 07:49:55

bottom of page