top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 15:14:54

UKIMWI
UKIMWI ni nini?
UKIMWI ni kifupisho cha jina la kitiba lililotokana na maneno Upungufu wa KInga MWilini. Upungufu wa kinga mwilini unaotumika kumaanisha UKIMWI ni ule unaosababishwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ( VVU)
Majina mengine
Majina mengine yanayotumika kumaanisha UKIMWI ni
HIV/AIDS
Maambukizi ya UKIMWI
Ugonjwa wa HIV
Ugonjwa wa VVU
Imeandikwa:
9 Julai 2021, 17:16:56
bottom of page
