top of page
Mwandishi:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
6 Juni 2022, 18:00:13
Ulevi wa dawa
Ulevi wa dawa ni nini?
Ulevi wa dawa ni hali ya kupata dalili kali za kisaikolojia na kifiziolojia baada ya kuacha kutumia dawa aina fulani. Dalili hizi huweza kuleta madhara kwa mtu hata kifo.
Waathirika hupatwa na hamu au tamaa kubwa ya kupata dawa hiyo kwa njia yoyote ile.
Dawa za kulevya
Mfano wa dawa zinazoweza kuleta ulevi wa dawa ni;
Diazepam (Valium)
Heroin
Cocaine
n.k
Imeandikwa:
21 Julai 2021, 22:18:14
bottom of page
