top of page
Umri wa mimba
Mwandishi:
Dkt. Salome A, MD
31 Mei 2022 18:50:08
Umri wa mimba ni nini?
Umri wa mimba ni kipimo kinachokadiria muda utakaochukuliwa na ujauzito kuanzia siku ya kwanza ya kuona hedhi ya mwisho hadi siku ya kujifungua.
Kuna njia mbalimbali za kupima umri wa mimba ambazo zimeelezewa sehemu nyingine katika tovuti hii.
Umri wa mimba huhesabiwa katika wiki, kwa kawaida umri wa mimba wa binadamu ni wiki 40. Umri wa mimbna husesabiwa katika wiki kwa lengo la kurahisisha mjamzito kupatiwa matunzo yanayotolewa kulingana na wiki za ujauzito.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:31:36
bottom of page