top of page

Mwandishi:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

3 Aprili 2026, 06:05:10

ung ni kirefu cha nini?

ung ni kirefu cha nini?

ung katika tiba ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘unguentum’ linalomaanisha dawa ya mafuta.


Vifupisho vingine vyenye maana sawa na ung

Baadhi ya wataalamu wa afya hutumia neno Oint, au oint. Kumaanisha ung, yaani dawa ya mafuta.

Imeandikwa:

3 Aprili 2026, 06:03:30

bottom of page