top of page
Uvimbe joto
Mwandishi:
ULY CLINIC
25 Julai 2021 09:15:48
Uvimbe joto ni nini?
Uvimbe joto ni neno la kiswahili linalotumika kumaanisha uvimbe wa saratani. Saratani ni uvimbe unaoweza kutokea sehemu yoyote ile ya mwili kama kwenye ulimi, matiti, shingo ya kizazi, utumbo, koo .n.k.
Majina mengine
Majina mengine ya uvimbe joto ni saratani au kansa.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 14:43:25
bottom of page