top of page

Uwezo wa Spasho

Mwandishi:

ULY CLINIC

23 Julai 2021 21:02:04

Uwezo wa Spasho

Uwezo wa spasho ni nini?


Uwezo wa kispasho ni uwezo wa mtu kuona na kuelewa uhusiano wa vitu na kutumia uhusiano huo kutengeneza au kubadilisha vitu vilivyoona.


Maswali ya kupima uwezo wa spasho


Maswali yanayolenga kutambua uwezo wa spasho kwa watoto ni kama yafuatayo;


  • Je mtoto wako anachanganya kushoto na kulia?

  • Je mtoto anapata shida kuchora kunukuu maandishikutoka kwenye kitabu au ubao

  • Je mtoto anashindwa kupanga vitu kwenye loka au kwenye chumba chake au meza?

  • Je mtoto anapotea kirahisi haswa kwenye mazingira mapya?

  • Je mtoto anashindwa kuelewa ramani?

  • Je mtoto anagongana na watu kurahisi au kushindwa kukadilia umbali kati yake na wengine?

  • Je mtoto anashindwa kuumba maumbo licha ya kuwa na mfano wa picha?

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 14:49:31

bottom of page