top of page

VVU

Mwandishi:

ULY CLINIC

9 Julai 2021 17:21:28

VVU

VVU ni nini?


VVU katika tiba hutumika kama kifupisho cha neno Virusi Vya UKIMWI. Virusi vya UKIMWI ni virusi kwenye familia ya Virusi vya RNA ambapo kuna aina mbili ambazo zina ambukiza binadamu VVU1 na VVU2 au kwa lugha nyingine ya HIV1 na HIV2.


Majina mengine ya VVU ni;


VVU hufahamika pia kama;

  • HIV

  • HIV1

  • HIV2

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:14:28

bottom of page