top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Hormone

Hormone ni nini?

Human chorionic gonadotropin

Human chorionic gonadotropin ni nini kwa kiswahili

Hydrocele ni nini?

Hydrocele

Ni neno tiba lenye jina la kiswahili la "Haidrosili" ambapo ni hali ya kitabibu inayotokea pale ambapo maji hukusanyika kwenye utando unaozunguka korodani (tunica vajinalisi), na kusababisha uvimbe wa mfuko wa korodani. Kwa kawaida, mkusanyiko huu wa maji hausababishi maumivu makali, bali huleta kuongezeka kwa ukubwa wa mfuko wa korodani, uzito, au hisia ya kujaa.

Hypercortisolism

Hypercortisolism

Hypercortisolism ni nini kwa kiswahili?

Hyperinsulinism

Hyperinsulinism

Hyperinsulinism ni nini kwa kiswahili

bottom of page