top of page

Kamusi Tiba ya ULY CLINIC

Hysterical amnesia

Hysterical amnesia ni nini?

Iatrogenic Amnesia

Iatrogenic Amnesia ni nini?

Idima ni nini?

Idima

Ni hali ya mkusanyiko usio wa kawaida wa majimaji kwenye tishu za mwili, hasa katika nafasi zilizopo kati ya seli. Hali hii husababisha sehemu ya mwili kuvimba na inaweza kutokea eneo moja au sehemu mbalimbali za mwili. Huonekana mara nyingi kwenye vifundo vya miguu, miguu, mikono na uso, lakini inaweza pia kutokea ndani ya mwili, kama vile kwenye mapafu au tumboni.

Impotence

Impotence ni nini?

Incomplete bladder emptying

Incomplete bladder emptying ni nini?

bottom of page