Uboreshaji wa ujuzi- Tabibu
Nyumbani
Mgonjwa
Daktari
Elimu Afya
Pata tiba
Ujauzito
Mlo Afya
Mafunzo
Dawa A-Z
Blogi
Dalili & Viashiria A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Mengineyo
Hutokana na mwili kuzalisha antibodi na chembe nyeupe za damu dhidi ya chembe hai za mwili ambazo hazina shida yoyote.
Ni madhaifu ya misuli midogo ya mikono kushindwa kufanya matendo yanayohitaji kufanywa kwa ustadi kutokana na magonjwa kwenye mfumo wa fahamu.
Kukosa ujuzi wa spasho ni kukosekana kwa uwezo wa mtu kuchakatua kile anachokiona ili kuelewa uhusiano wake na vitu vingine pamoja na kuangalia madhari au picha tofauti.
Ni neno tiba linalomaanisha kumbukumbu ya mambo ambayo yameshatokea baada ya majeraha au ugonjwa.
Kumbuzama ni nini?