top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Peritonaitisi
Ni kuvimba kwa peritoneamu yaani utando mwembamba unaofunika ndani ya tumbo na sehemu ya nje ya viungo vya ndani ya tumbo. Mara nyingi husababishwa na maambukizi ya bakteria, lakini inaweza pia kutokea wakati majimaji au vitu vilivyomo ndani ya viungo vya tumbo vinavuja na kufika kwenye peritoniamu.
bottom of page

