top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
Pituitary
Ni tezi inayofahamika kiswahili kama Pituitari ambayo ni tezi ndogo iliyopo kwenye msingi wa ubongo ambayo inadhibiti utoaji wa homoni mbalimbali muhimu kwa kazi za mwili. Mara nyingi huitwa “tezi mama” au kwa sababu inadhibiti au kuchochea tezi nyingine za mfumo wa homoni kufanya kazi zake.
bottom of page


