top of page

Kikokotoo cha umri wa ujauzito na Ukuaji w amtoto tumboni

Jinsi kinavyofanya kazi

  1. Mjamzito anaingiza tarehe ya kuanza hedhi mwisho ya hedhi (Tarehe ambapo alianza kuingia hedhi ya mwisho)

  2. Kikokotoo hukokotoa:

    • Umri wa ujauzito (katika wiki na siku)

    • Makadirio ya tarehe ya kujifungua (EDD)

    • Makadirio ya uzito wa mtoto

  3. Kinaonyesha ushauri wa lishe, vitu vya kuepuka, na dalili za hatari.

  4. Kinaonyesha mchoro wa ukuaji wa mtoto kutoka wiki 12 hadi 40.

  5. Ikiwa mama yupo kwenye miezi mitatu ya mwisho(kipindi cha tatu cha ujauzito), mfumo hutoa Ujumbe wa ishara kukumbusha kufuatilia harakati za mtoto na kwenda hospitali haraka endapo kuna ishara za hatari.

bottom of page