Anza siku kwa kutumia viazi vya kuchemsha, kisha kula mboga za majani isipokuwa mbogaza majani zenye wanga kwa wingi
Siku ya 2
Anza siku kwa kutumia viazi vya kuchemsha, kisha kula mboga za majani isipokuwa mbogaza majani zenye wanga kwa wingi
Siku ya tatu
Kula matunda na mboga za majani isipokuwa ndizi na mboga za majani zenye wanga
Siku ya 4
Kula ndizi, maziwa fresh au maziwa mtindi
Siku ya 4
Kula ndizi, maziwa fresh au maziwa mtindi
Siku ya tano
Kula nyanya 6 hadi 8, kisha unaweza kula vyakula vya protini kutoka kwenye kuku, samaki au nyama ya ngombe isiyo na mafuta kwa wingi
Siku ya tano
Kula nyanya 6 hadi 8, kisha unaweza kula vyakula vya protini kutoka kwenye kuku, samaki au nyama ya ngombe isiyo na mafuta kwa wingi
Siku ya 6
Kula protini ya kutosha na mboga za majani isipokuwa mboga za majani zenye wanga kwa wingi.
SIku ya 7
Kula matunda mboga za majani na juisi halisi kutoka kwenye matunda(usile ndizi wala mboga za majani zenye wanga)
Mambo ya kufanya kila siku
Kula supu ya cabbage kila siku na maji ya kutosha, unatakiwa kunywa angalau glass nane za maji kwa siku. Kusoma zaidi kuhusu kiasi cha maji cha kunywa kwa siku bonyeza hapa
Mambo ya kufanya kila siku
Kula supu ya cabbage kila siku na maji ya kutosha, unatakiwa kunywa angalau glass nane za maji kwa siku.
Mambo ya kufanya kila siku
Kula supu ya cabbage kila siku na maji ya kutosha, unatakiwa kunywa angalau glass nane za maji kwa siku.
Njia zingine za kutojinyima kula
Unaweza kupunguza kilo 4 hadi 5 kwa siku 7 huku ukiendelea kula chakula kama kawaida. Kujua hili bonyeza link hii