Mlo tiba
Nyumbani
Dawa A-Z
Dalili A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Matibabu
Elimu
Mlo wa tiba
Majibu ya maswali
Ujauzito
Blogi
Foram
ULY CLINIC Limited
Mengineyo
Ni rahisi na ni bure kujiunga, utakapo jiunga utapata faida nyingi za kujulikana na kuongeza kipato chako, au kujipatia ajira hata kama huna sehemu ya kufanyia kazi. Ikiwa wewe ni mtaalamu wa afya na una lesseni na vyeti vya taaluma yako katika Fani yoyote ile mfano daktari, muuguzi, mtaalamu wa mionzi au daktari wa mazoezi unaweza kujiunga katika mtandao wetu.
Tunakufanya ujiajili kwa kazi zifuatazo
Ajira ya mda mfupi
Kazi za Mda mrefu
Kuuza dawa au kufanya vipimo vya ugunduzi kwa wateja
Nini unatakiwa kufanya kujiunga nasi?
Ingia kwenye mtandao huu kupitia link hii na kisha jaza fomu hiyo na itume. Tutakujibu ndani ya masaa 72