top of page

Imeandikwa na madaktari wa ulyclinc

​

Maambukizi ya masikio

​

Utanguliza

​

Maambukizi ya masikio ni maambukizi  yanayotokea sana na mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi ambao huathiri sikio la kati ambalo lipo nje au ndani ya sikio( eneo lililopo kwa ndani ya ngoma ya sikio). Watoto hupata sana maambukizi ya masikio ukilinganisha na watu watu wazima. Picha ya sehemu za sikio

​

Maambukizi kwenye masikio yanaweza kusababisha maumivu ya masikio, maumivu haya husababishwa na michomo inayoletwa na maambukizi na kujikusanya kwa maji maji kwenye sikio la kati

​

Kwa sababu maambukizi ya masikio huisha yenyewe wakati  mwingi, matibabu huanza kwa kutibu maumivu na kuzuia Matatizo yanayotokana na maambukizi haya.

​

Dalili

​

Dalili na viashiria vya maambukizi ya masikio hutokea ghafla.

​

Dalili za watoto

​

Dalili za maambukizi ya masikio kwa watoto huwa pamoja na;

​

Maumivu ya masikio, sana sana mtoto akilala

​

  • Kuweka vidole wkenye masikio au kuvuta masikio

  • Kushindwa kulala

  • Kulia kulika kawaida

  • Mtoto kusumbua kusiko kawaida

  • Kushindwa kusikia au kuitikia sauti

  • Kushindwa kuwa na balance anapotembea

  • Homa au joto la mwili Kupanda

  • Kutokwa maji au usaha masikioni

  • Maumivu ya kichwa

  • Kupoteza hamu ya kula

 

Kuendelea kusomabonyeza hapa, hakikisha una email yako

utangulizi
dalili watoto
bottom of page