top of page

Mwandishi

Mhariri:

ULY CLINIC

Dkt. Benjamin L, MD

10 Machi 2021, 17:51:49

Abaciximab na ujauzito

Abaciximab na ujauzito

Ushauri dhidi ya matumizi kwa mama mjamzito


Inapatana na ujauzito- faida kwa mama >>hatari kwa Kijusi-kichanga tumboni


Inapatana na ujauzito- faida kwa mama >>hatari kwa Kijusi-kichanga tumboni, ina maana gani?

Kunaweza kuwa au kutokuwa na uzoefu wa matumizi ya dawa hii kwa binadamu, lakini faida ni kubwa zaidi zikitumiwa na mama kuliko madhara yanayofahamika au kutofahamika kuwa yanaweza kutokea kwa kijusi-kichanganya tumboni. Kwa mama dawa zinazidi madhara yanayofahammika. Taarifa za uzazi kwa wanyama hazina mahusiano


Ushauri wa matumizi kwa mama anayenyonyesha


Inapatana na unyonyeshaji


Inapatana na unyonyeshaji, ina maana gani?

Kiasi kidogo cha dawa hii kinawezekana kuingia kwenye maziwa ya mama, kiasi hiki hakina mashiko ya kusababisha sumu kwa kichanga anayenyonya. Dawa hii haitarajiwi kusababisha madhara kwa kichanga anayenyonya maziwa ya mama anayetumia dawa hii

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

4 Juni 2025, 19:40:08

  1. James AH, Jamison MG, Biswas MS, Brancazio LR, Swamy GK, Myers ER. Acute Myocardial Infarction in Pregnancy: A United States Population-Based Study. Circulation. 2006;113(12):1564-71.

  2. Kearney K, Diener H, Giovannoni G. Drug safety during pregnancy: Focus on antiplatelet agents. J Thromb Haemost. 2017;15(3):447-454.

  3. Nilius AM, Marshall G, Waschel G, Dixon S, Weir ID. Safety of glycoprotein IIb/IIIa inhibitors in pregnancy: a case series and review of the literature. Blood Coagul Fibrinolysis. 2003;14(3):225-9.

  4. Andrade SE, Gurwitz JH, Davis RL, Chan KA, Finkelstein JA, Fortman K, et al. Prescription drug use in pregnancy. Am J Obstet Gynecol. 2004;191(2):398-407.

  5. FDA. Abciximab (ReoPro) prescribing information. U.S. Food and Drug Administration; 2017. Available from: https://www.accessdata.fda.gov/drugsatfda_docs/label/2017/103165s5229lbl.pdf

bottom of page