top of page
Dawa ujauzto na kunyonyesha
​
Dawa ujauzito na kunyonyesha ni kurasa maalumu ya ushauri kuhusu usalama wa dawa kwa wapenzi wanaotarajia kupata ujauzito, wenye ujauzito na wale wanaonyonyesha. Kurasa mada za dawa kwenye linki ya kurasa hii zimezungumzia kiundani kuhusu dawa gani ni salama, zipi zinapaswa kutumika na zipi hazipaswi kutumika na madhara yake katika kipindi kabla ya ujauzito, wakati wa ujauzito na kipindi cha kunyonyesha.
Bofya dawa ili kusoma zaidi dawa zinazotumika kila siku kuona kama zinafaa kwenye ujauzito au wakati wa kunyonyesha. Kwa maswali zaidi tumia mawasiliano chini ya tovuti hii.
bottom of page