top of page

Mwandishi:

Mhhariri

ULY CLINIC

Dkt. Benjamin L, MD

Ijumaa, 5 Novemba 2021

Ulimi kubadilika rangi

Ulimi kubadilika rangi

Kubadilika rangi ya ulimi kunaweza kusababishwa na kula chakula chenye rangi, maambukizi au upungufu wa vitamin aina fulani mwilini. Kila aina ya rangi inaweza kumaanisha tatizo aina fulani. Hapa chini kuna maelezo zaidi.


Visababishi


Visababishi vya ulimi kubadilika;


  • Ulimi kuwa na rangi ya pinki iliyokolea huwa kwa sababu ya upngufu wa vitamin B12, Folic asidi, madini chuma, na mzio ya kemikali ya gluten(inayopatikana kwenye vyakula aina ya ngano au vile vinavyotoa unga unaonata kama ngano)

  • Ulimi kuwa na rangi nyeupe mara nyingi husababishwa na uvutaji wa sigara, kunywa pombe au kutosafisha kinywa kwa umakini.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ya kitiba baada ya kusoma makala hii.

Wasiliana na daktari wa ulyclinic kwa ushauri zaidi na tiba kwa kubofya 'Pata Tiba,  au ''mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii

Imeboreshwa,

13 Julai 2023 19:03:27

Rejea za mada hii:

bottom of page