Mazoezi kwa ajili ya maumivu ya shingo
Imeandikwa na madaktari wa uly clinic
Ukiwa unafanya mazoezi haya hakikisha unapumua vema wakati wote wa mazoezi
Mazoezi ya kupunguza maumivu ya singo
-
Ukiwa umekaa au Simama wima, kwa taratibu rudisha kidevu nyuma mpaka masikio yako yakae sambamba na mabega
-
Shikilia hapo kwa sekunde5. Rudia mara tano, na fanya hivi mara 3 kwa siku
-
Angalia. Fikilia kujiongeza urefu kwa kufanya zoezi hili
Upinzani kwenye misuli ya levetor scapular
-
Kuweka ukinzani kwa sekunde 30 hadi 60
-
ukiwa umekaa kwenye kiti
Madhumuni ya mazoezi ni kupunguza maumivu , sana sana maumivu ya shingo yanayoelekea mabegani, na mikononi. Mazoezi haya husababisha maumivu kutoka kwenye mabega na mikono kuelekea shingoni, ni vema kufuatilia maumivu haya wakati wa mazoezi yanapoeendelea ili kujua kama unafanya mazoezi yanayokusaidia.
Mazoezi mengine ya shingo yanapatikana kwa kwa njia ya video.
Mazoezi ya kukaza msuli wa scalene
Toleo la 3
Imeboreshwa 23/12/2018