top of page

Magonjwa na dawa zake

Updated: Nov 6, 2021

Makundi ya dawa kulingana na matumizi yake.


Yapo makundi aina kadhaa ya dawa, makundi hayo yameorodheshwa hapa kulingana na tatizo linalotibiwa na dawa hizo. Kumbuka kabla ya kutumia dawa yoyote ni vema ukawasilaina na daktari wako ili akupe maelekezo Zaidi ya dawa gani utumie kulingana na tatizo lako. Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari huweza kukutelea madhara makubwa mwilini pamoja na kifo. ULYCLINIC inakushauri ufuate ushauri kutoka kwa daktari wako kwa uchunguzi na ushauri kabla ya kutumia dawa yoyote ile.

Chagua kundi la dawa kuona ni dawa gani zilizopo kwenye kundi hilo;
Usisahau kuwashirikisha watu uwapendao kupakua app ya ULY CLINIC

Karibu ULY CLINIC kwa tiba na ushauri.

144 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page