top of page
Writer's pictureDr.Sospeter Mangwella, MD

Kipindi salama cha kutumia pombe na dawa | ULY CLINIC

Updated: Jun 29, 2020



Watu wengi wamekuwa wanauliza maswali wataalamu wa afya, mimi pia nimeshakutana na swali hili mara nyingi, wakati mimi mwenyewe nilijiuliza swali kuhusu dawa gani ambazo hazitakiwi kutumika pamoja na pombe? na ili nipate kuwashauri wagonjwa wateja wangu na wasomaji vizuri nimeamua kuandaa makala hii ili kila atakayeuliza swali nimrejeshe kwenye mada hii.

Swali jingine ni kwa muda gani sipaswi kutumia pombe mara baada ya kunywa dawa?


Au ni muda gani unatakiwa kupita mara baada ya kunywa dawa ili ninywe pombe?


Mjadala huu hii imejibu maswali hayo vizuri


Nianze na swali la ni dawa gani ambazo ni mwiko/ hazitakiwi kutumiwa endapo umekunywa pombe?

Jibu

Dawa zilizo kwenye makundi haya hapa chini hazitakiwi kutumika wakati umekunywa pombe au kwa mtu ambaye anatarajia kunywa pombe ndani ya muda ujao mara baada ya kunywa dawa. Hazitakiwi kutumika kwa sababu mtu anaweza kupata madhara au maudhi mbalimbali endapo atatumia dawa kwenye kipindi hiko. Bonyeza kusoma madhara katika kila kundi na mfano wa dawa zisizopaswa kutumika.



Pakua application ya ulyclinic kusoma zaidi makala zetu bure, kupata ushauri wa kiafya bure, kupata tiba na kupata vidokezo vya kiafya kwa kubonyeza hapa.


Usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki kutumia app yetu kwa tiba ushauri na elimu ya afya.


Karibu ULY CLINIC





136 views0 comments

Recent Posts

See All

Comentarios


bottom of page