Dawa jamii ya PPI’s
PPI’s ni kifupisho cha dawa zenye jina la Proton Pump Inhibitors, huzuia uzalishaji wa tindikali tumboni na hivyo hutumika sana kama dawa mojawapo kwenye matibabu ya vidonda vya tumbo.
-
Omeprazole (Prilosec, Prilosec OTC, Zegerid)
-
Lansoprazole (Prevacid)
-
Pantoprazole (Protonix)
-
Rabeprazole (Aciphex)
-
Esomeprazole (Nexium)
-
Dexlansoprazole (Dexilant)
Matumizi ya dawa
Hutumika katika matibabu ya;
-
Kucheua tindikali(GERD)
-
Kuzuia utengenezaji wa tindikali kupitiliza kama kwenye tatizo la Zollinger-Ellison syndrome
-
Vidonda kwenye tumbo au utumbo mwembamba
-
Vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na bakteria wa H.Pyroli endapo itatumika na dawa zingine
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri zaidi na Tiba kwa kubonyeza ‘Pata tiba’ au piga namba za simu chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa, 8.12.2020
Rejea za mada hii
-
Proton Pump Inhibitors (PPIs). https://www.aboutgerd.org/medications/proton-pump-inhibitors-ppis.html. Imechukuliwa 8.12.2020
-
Proton Pump Inhibitors (PPIs). https://www.medicinenet.com/proton-pump_inhibitors/article.htm. Imechukuliwa 8.12.2020
-
Proton pump inhibitors.https://www.drugs.com/drug-class/proton-pump-inhibitors.html. Imechukuliwa 8.12.2020