Inatumia line ya simu
Inauwezo wa kupiga picha
Inauweza wa kusoma SMS za simu
Inauweza wa kucheza nyimbo zilizo kwenye simu kwa Bluetooth
Inapiga na kupokea simu kwa bluethooth
Inapiga na kupokea simu endapo imewekewa line ya simu
Bluetooth Smart Watch
TZS 95,000.00 Regular Price
TZS 85,500.00Sale Price
Endapo hujaridhika na Bidhaa uliyotumiwa ikiwa ni pamoja kuwa na shida ya kiufundi na endapo haijaharibika kwa kufunguliwa bidhaa inaweza kurudishwa na ukarudishiwa pesa yako.