Inatumia betri za AAA
Ni nzuri kwa kupima sikio lililo na shida kwa ndani
Unaweza kutumia kama tochi
Ni bidhaa original na inafanya kazi muda mrefu
Otoscope
TZS 70,000.00 Regular Price
TZS 56,000.00Sale Price
Endapo bidhaa uliyopokea imeharibika au hujaridhishwa nayo au inahitilafu ya kiufundi iliyotokea kutokana na usafirishaji basi usisite kuwasiliana nasi kwa mazungumzo na kukurudishia pesa yako mara baada ya bidhaa kutufikia.

