top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

Dawa kundi la Tetracycline

 

Dawa kundi la Tetracycline ni dawa zinazoweza kutumika katika matibabu ya maambukizi mbalimbali ya bakteria mwilini. Dawa hii imetoka kwenye bakteria mwenye jina la Streptomyces.

 

Baadhi ya magonjwa na na vimelea wanaotibiwa na dawa hii ni;

 

  • Chlamydiae

  • Mycoplasmata

  • Protozoa

  • Rickettsiae

 

Dawa kundi la Tetracycline ni dawa zinazo husisha

 

 

Kumbuka:

  • Dawa zilizoorodheshwa hapo juu hutumika kwa kuandikiwa na daktari tu

  • Matumizi ya dawa pasipo kuandikiwa na daktari hupelekea usugu wa bakteria dhidi ya dawa hiyo

  • Vimelea vikitengeneza usugu kwenye dawa, dawa hiyo haitafaa kamwe kwenye mwili wako kwa matibabu ya PID

 

 

Imeboreshwa, 8.12.2020

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale baada ya kusoma makala hii

 

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri zaidi na Tiba kwa kubonyeza ‘Pata tiba’ au piga namba za simu chini ya tovuti hii.

 

Rejea za mada hii;

 

  1. Tetracycline antibiotics. https://www.sciencedirect.com/topics/medicine-and-dentistry/tetracycline-antibiotics#. Imechukuliwa 8.12.2020

  2. Tetracyclines. https://www.drugs.com/drug-class/tetracyclines.html. Imechukuliwa 8.12.2020

  3. Tetracyclines. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK549905/. Imechukuliwa 8.12.2020

  4. Tetracycline. https://www.rxlist.com/consumer_tetracycline_sumycin_actisite/drugs-condition.htm. Imechukuliwa 8.12.2020

  5. Tetracycline. https://go.drugbank.com/categories/DBCAT002418. Imechukuliwa 8.12.2020

bottom of page