top of page
TIBA ZINAZOTOLEWA BILA MALIPO TANZANIA
​
Hapa ni sehemu ya kujua tiba mbalimbali zinazotolewa kama msaada kwa wananchi wa Tanzania kutoka kwenye mashirika binafsi na taasisi zisizo za kiraia. Tiba hii inalenga magonjwa ya aina mbalimbali kama vile upasuaji wa kurekebisha mdomo sungura, upasuaji wa magonjwa ya moyo, upasuaji wa kurekebisha Mgongo wazi, Kichwa maji(hydrocephalas), Mguu kifundo, na mengine mengi, taarifa za hivi karibuni zimeandikwa kwa jina MPYA na zile ambazo zilishapitwa muda zimeandikwa ZAMANI, bonyeza kusoma taarifa hizo. Tafadhari wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia namba za simu chini ya tovuti hii. Karibu ULY CLINIC
Matibabu ya upasuaji kurekebisha midomo sungura bure- MPYA- Tangazo limeshapitwa na wakati.
bottom of page