top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Ninatokwa na uchafu ukeni nimetumia cream ya gynozol mwezi na vidonge vya kumezaa ila bado sijapona, shida nini

​

Nikona mimba na ninatoa damu shida ni gani

​

Nini vipele viwili katika eneo la chini ya kitovu ambavyo vilianza kama vipele na kupasuka, shida ni nini?

​

Je malengelenge ya hsv huweza kuwa mavili tu madogo na yameachiana nafasi na kuacha uvimbe kama chunusi wakati wa kupona?

​

Je kipele kinaweza kuwa kigumu kama jipu?

​

bottom of page