top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Mim nina week 35 na siku 6 sasa, leo maji meupe ya kawaida yanayoambatana na ute kama wa yai yanatoka mpaka sasa haswa nikisimama. Je, ni kawaida?

​

Habari dokta, mtoto wangu hacheui mtindi anayatoa yale yale fresh, pia ana mafua. Tatizo linaweza kuwa nini?

​

Nina vipele sehemu ya siri nimejaribu kitibu kwa vidonge, dawa za kupaka mpaka sidano lakini haviishi nifanye aje?

​

Nina maumivu ya pumbu, muwasho na ngozi kubanduka. Tatizo linaweza kuwa nini?

​

Kupumua kwa shida, kuhisi kama kuna makohozi kooni, pua kuziba, maumivu makali ya paji la uso na mapigo ya moyo kwenda kasi ni dalili za upungufu wa damu?

​

bottom of page