top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Kubadilika Kwa kucha kuwa nyeupe za (kungala) kung'aa ina kuwa shida nini

​

Jino linaniuma inaambatana na homa nayo piya ni dalil za ukimwi?

​

Naomba unambie nanna ya kutengeneza Juisi ya Limao, Asali, Tangawizi na Karafuu

​

Sijaingia kwenye siku zangu kwa miezi tisa sasa adi Leo damu inatoka matone yasio isha Kila siku shida itakua nini

​

Nina ujauzito baada ya kugundua nikaanza kunywa kinywaji cha Azamu energy na kutumia metrodinazole kwa wingi kwa Sasa tumbo langu linajaa na kuuma. Je, tatizo linaweza kuwa nini?

​

bottom of page