Sehemu ya Matangazo
ULY CLINIC haiidhinishi au kupendekeza kampuni au bidhaa zinazotangazwa. Mapato yanayotokana na matangazo husaidia kuunga mkono dhamira yetu ya kutoa huduma kwa jamii bila kutafuta faida.
Mim nashida kila nikikutan n mume wangu napata maumivu wakati wa tendo naumia sana apa kwenye njia kabla ajaingiza vizuli napata maumivu kwenye njia kwenye mashavu ya chini napatu kama mchubuko ivi