top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Mimba inaweza julikana baada ya mda gani??

​

Je shahawa nyepesi au chache ambazo ni kama matone mawili zinaweza kuishi kwenye uke wa mwanamke kwa masaa mangapi

​

Tulifanya mapenzi jana lakin nikawa na mwagia shahawa njee mida ya saa 11 hivyo tukawa tumemaliza leo saa 12 nimetumia kipimo kimeonesha hana je wewe unasemaje kuhusu hilo swaala

​

napata maumivu upande wa kushoto eneo la kizazi na pia nimemaliza hedhi yangu week iliyopita jeee inaweza kua yai linarutubishwa?

​

Je sumu yaweza sababisha tumbo kuunguruma

​

bottom of page