top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Kuuma sana kwa tumbo la hedhi husababishwa na nini

​

Naumwa tumbo chini ya kitovu pembeni kidogo kwenye mguu wa kulia

​

Napata maumivu ya tumbo mana mimb ilialibik nikaend hospital ila tangia damu ikate ninawiki mbili sasa tumbo linauma

​

Nimenda kuchek ultrasound nikambiw mimba imtoka sasa natngia damu ikate ndo nasikia maumivu ya tumbo

​

Habalini za saizi mm nikijana wa miaka 30 pia nina tatizo la kutokwa usaha kwenye huume nilienda mala ya kwanza hosipitalin nikadungwa sindano makalion na kupewa vidonge aina ya azuma nikameza kwa siku tatu baada ya apo maumivu makali ya kukojoa yaliisha ila mpka sasa usaha bado unatoka ila kuhuumia sihumii sasa naomba ushauli katika hili

​

bottom of page