top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Naumwa tumbo la chini natokwa na damu baada ya sex nahisi kuungua nikitaka kukojoa natokwa na uchafu wa njano ukeni mkojo wenye harufu kali maumivu ya kichwa some time kichefuchefu napia natumiaga uzazi wa mpango p2

​

Je kama mtu katoa mimba kisha akawa anashiriki tendo angali bado damu azijakata anaweza pata mimba?

​

Ninatokwa na vipele kabla ya hedhi na wakata wa siku za hatari

​

Nilipima kipimo Cha mimba week mbili kikaonesha Sina nikaaa baaba ya week mbili tena nikapima kikaonesha msitali wa kwanza hafifu wa pili mkolezo nashindwa kuelewa je namimba

​

Naumwa na tumbo Yani kama naingia hedhi nikijiangalia hamna kitu niweek ya 5 sasa sioneshi dalili za mimba matiti hayajai zaidi ya tumbo tu

​

bottom of page