top of page

Majibu ya maswali mbalimbali

Choo cha mtoto kuwa na kamasi inaweza kuwanini

​

Habari Nimetoa mimba ya wiki 2 na damu imetoka nyingi na vinyama lakini mpaka Sasa impungua inatoka kama matone mimba kwelii itakua imetoka

​

Pia naweza endelea tumia Metro na paracetamol ikiwa Nimetoa ujauzito

​

Week mbili nyuma nilianza kutoka uchafu kama jibin uken ikiambatan na miwasho kwa mbali nikatumia vitunguu swaum kumeza ile hali ikawa imeisha ila sasa saiv natokwa na harufu ya kisamaki nikiwa nafanya mapenzi

​

Okay harufu ukeni inatokana na nini

​

bottom of page