top of page
AZUMA inatibu nini?
Azithromycin ni antibayotiki, hutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria. Licha ya madhumuni yake ya awali ya kutibu maradhi ya bakteria, dawa hii ina uwezo w akutibu magonjwa mengine pia yasiyosababishwa na bakteria.
Azuma inatibu nini?
Licha ya madhumuni yake ya awali ya kutibu maradhi ya bakteria, dawa hii ina uwezo wa kutibu magonjwa mengine pia yasiyosababishwa na bakteria
bottom of page
