top of page
Cefalexin inatibu nini?
Ni antibayotiki ya kizazi cha tatu cha cephalosporin inayotumika kutibu maradhi mbalimbali yanayosababishwa na bakteria wanaodhuriwa na dawa hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni U.T.I ya kibofu cha mkojo isiyo sugu na Homa ya titi.
bottom of page
