top of page

Ciprofloxacin hutibu nini?

Ciprofloxacin ni moja kati ya antibiotiki kwenye kundi la Fluoroquinolones. Dawa hii ina uwezo wa kukabiliana sana na bakteria jamii ya gramu hasi ukilinganisha na dawa zenzake katika kundi hili.

bottom of page