top of page

Clomifene inatibu nini?

Ni dawa jamii ya triphenyl ethylene stilbene inayoumika kuchochea uzalishaji wa ova.Baadhi ya magonjwa inayotibu ni ugumba unaotokana na kutozalishwa kwa ova kwa wanawake.

bottom of page